Wakarmeli
Wakarmeli (kwa Kilatini Ordo Fratrum Beatissimæ Virginis Mariæ de Monte Carmelo, kwa Kiingereza Order of the Brothers of the Blessed Virgin Mary of Mount Carmel, kifupi O.Carm.) ni watawa wa Kanisa Katoliki ambao labda ulianzishwa katika karne ya 12 kwenye mlima Karmeli (Israeli) ukizingatia juhudi za nabii Elia zilizojumlishwa katika maneno yake yanayotumika kama kaulimbiu ya shirika: "Zelo zelatus sum pro Domino Deo exercituum" (yaani "Nimefanya bidii sana kwa Bwana Mungu wa majeshi"). Pia kuna uhusiano wa pekee na Bikira Maria.
Mbali ya wanaume, wapo wanawake wamonaki wanaojifungia katika ugo wa monasteri, na masista wenye utume wa aina mbalimbali. Hatimaye wapo walei wanaofuata karama ya shirika ambayo ni hasa kuzama katika sala.
Walio wengi wanafuata urekebisho wa Wakarmeli Peku (kwa Kilatini "Ordo Carmelitarum Discalceatorum", kwa kifupi "O.C.D."), ulioanzishwa na Teresa wa Yesu katika karne ya 16 huko Hispania.
Watakatifu Wakarmeli
[hariri | hariri chanzo]- Alberto wa Yerusalemu, askofu
- Alberto wa Sicilia, padri
- Andrea Corsini, askofu
- Anjelo wa Sicilia, padrí
- Avertano
- Brocardo, padri
- Elia Kuriakose Chavara, padri
- Elizabeti wa Utatu, bikira
- Joaquina Vedruna
- Maria Magdalena wa Pazzi, bikira
- Nuño Alvares de Pereira
- Petro Tomas, askofu
- Rafael Kalinowski, padri
- Simon Stock, presbítero
- Teresa Benedikta wa Msalaba (Edith Stein), bikira
- Teresa Margarita Redi, bikira
- Teresa wa Yesu, bikira, mwalimu wa Kanisa
- Teresa wa Mtoto Yesu, bikira, mwalimu wa Kanisa
- Yohane wa Msalaba, padri, mwalimu wa Kanisa
Wenye heri Wakarmeli
[hariri | hariri chanzo]- Ana wa Mt. Bartolomeo, bikira
- María Lopez Rivas, bikira
- Arcangela Girlani, bikira
- María wa Umwilisho, religiosa
- Angelo Agostino Mazinghi, presbítero
- Maria wa Yesu Msulubiwa, bikira
- Maria wa Malaika, bikira
- Luis Rabata, padri
- Wafiadini wa Guadalajara, mabikira
- Bartolomeo Fanti, padri
- Baptista Mantuano, padri
- Dionisio wa Noeli, mfiadini
- Redento wa Msalaba, mfiadini
- Romeo wa Lucca
- Enrique wa Osso, padri
- Franciska wa Amboise
- Francisko Palau, padri
- Franco wa Siena
- Teresa María wa Msalaba, bikira
- Jacobino de Canepacis
- Teresa wa Los Andes, bikira
- Teresa wa Mt. Augustino na wenzake, mabikira na wafiadini
- Tito Brandsma, padri mfiadini
- Yoana Scopelli, bikira
- Yoana wa Tolosa, bikira
- Yohane Soreth, padri
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Schaff-Herzog Encyclopedia of Religion
- Copsey, Richard and Fitzgerald-Lombard, Patrick (eds.), Carmel in Britain: studies on the early history of the Carmelite Order (1992–2004).
- "The Carmelite Order" by Benedict Zimmerman. The Catholic Encyclopedia, 1908.
- T. Brandsma, Carmelite Mysticism, Historical Sketches: 50th Anniversary Edition, (Darien, IL, 1986), ASIN B002HFBEZG
- J. Boyce, Carmelite Liturgy and Spiritual Identity. The Choir Books of Kraków, Turnhout, 2009, Brepols Publishers, ISBN 978-2-503-51714-8
- W. McGreal, At the Fountain of Elijah: The Carmelite Tradition, (Maryknoll, NY, 1999), ISBN 1-57075-292-3
- J. Smet, The Carmelites: A History of the Brothers of Our Lady of Mt. Carmel, 4. vol. (Darien IL, 1975)
- J. Welch, The Carmelite Way: An Ancient Path for Today’s Pilgrim, (New York: 1996), ISBN 0-8091-3652-X
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Index of Carmelite Websites
- OCARM - OCD Web Portal Archived 27 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- Order of the Brothers of Our Lady of Mount Carmel
- British Province of Carmelites
- Carmelite Monks - Contemplative Carmelite men living a solitary life of prayer and penance
- Meditations from Carmel
- "Sayings of Light and Love" - Spiritual Maxims of John of the Cross Archived 22 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
- The Carmelite history and vocation Archived 17 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
- Way of Perfection for the Laity Archived 25 Oktoba 2012 at the Wayback Machine. - A commentary on the traditional rule of the Discalced Carmelite Third Order.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wakarmeli kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |