Nenda kwa yaliyomo

Yohane Alcober

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Yohane Alcober, O.P. (Granada, 21 Desemba 1694Fuzhou, 28 Oktoba 1748) alikuwa padri kutoka Hispania aliyefanya umisionari barani Asia akauawa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo pamoja na mapadri Wadominiko wenzake Fransisko Serrano, Yohakim Royo na Fransisko Diaz.[1][2]

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saint Francis Ferdinand de Capillas". Patron Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92171
  3. "Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648)" (kwa Norwegian). katolsk.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.