Ukilala kwenye hizi Hotel mfululizo kwa mwaka mzima wa siku 360 yani unalala kwa mtiririko wa
1 month = hotel ya 1
2 month = hotel ya 2
unaenda kwa mtiririko huo mpk december unakua umelala hotel 12 tofauti,kusema ukweli ukisikia mtu
kasema amekula miguu ya kuku na vichwa unaweza ukamshangaa,mtu akwambie asee huku kuna joto kali
sidhani kama utamuelewa maana mmh,kwa kweli duniani kuna watu wanaishi yani ukiangalia mijumba kama hii
unajiona kumbe mi bado sana yani taka taka sipaswi hata kufungua bakuli langu mbele ya watu.
Katika picha picha zote naona tu wahudumu wakiume wakiume,vidada naviona reception tu
ila huku kwetu wahudumu vidada kila angle shida sjui nini,ila mi 5 stars hotel naona midume tu imetawala.
sijaelewa ni kwanini hatammh. inaelekea kwamba kwenye majengo makubwa yenye floor nyingi wanaume wanaaminika zaidi kutoa huduma au management inayopaswa
Nchumbiji na sifa zote mbaya kuna kautulivu ka hotel nzuri kama hiiMelia Maputo Sky Msumbiji
Melia Serengeti Lodge
halleluyah.muombe Mungu ufike
mbona sio bei..unapanga tu mwisho wa mwaka unaenda vacationWalahi wabilahi kuna watu wanaishi me nasindikiza (nakazia mimi maana sjui hali za wenzangu humu ndani) sidhani kama nitakaa niingie hizo place until judgement day.
Distributed Denial-of-Service
Hiyo ya Nairobi mbona imechoka sanaHilton Nairobi Kenya
ssc africa
Wakuu Naomba kupata uelewa, kwanini Majina ya Hotel kubwa kubwa na nzuri karbia zote Afrika yanafanana, mfano Marriot, Kempisk Hilton, Ramada nk nk the same same name utakuta Tanzania, Kenya, Mali, SA nk tufungueni macho. Lkn ntajuaje kuwa hii ni Hotel ya Nyota 5 au 3 pasipo kuuliza yaani kwa kuangalia sifa zake tu.
Ahsante