Nenda kwa yaliyomo

Shake It Off

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Shake It Off”
“Shake It Off” cover
Single ya Mariah Carey
Muundo CD single, digital download
Aina Pop,[1] R&B
Urefu 3:52
Studio Island
Mtunzi Mariah Carey, Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Johntá Austin
Mtayarishaji Mariah Carey, Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox
Certification Gold (Australia, U.S.)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"We Belong Together"
(2005)
"Shake It Off"
(2005)
"Get Your Number"
(2005)

"Shake It Off" ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa nchini Marekani Mariah Carey, kwa kushirikiana na waandishi wengine kama vile Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Johntá Austin, na ulirekodiwa katika albamu ya kumi ya Carey, iliyojulikana kama The Emancipation of Mimi iliyotoka mwaka (2005). Wimbo huu ulitoka kama single ya tatu kutoka katika albamu hii ya mwaka 2005.

Historia ya kutoka

[hariri | hariri chanzo]

"Shake It Off" ilitoka na kufika katika nafasi mbalimbali katika chati ya Top 40 Mainstream contemporary hit radio ncahini Marekani tarehe 12 Juni 2005..[2]. Wimbo huu kwa mara ya pili ulitayarishwa na DJ Clue ambaye alitayarisha rimiksi ya nyimbo za hapo kabla, kama vile wimbo wa ‘’We Belong Together’’.

Bill Lamb wa mtandao wa About.com alisema kuwa ‘’wimbo huu ni zaidi kidogo ya nyimbo zilizotangulia’’."[3] Mwimbaji wa Yahoo! Music nayeitwa Dan Gennoe anauita wimbo huu kuwa ipo kaive nnyimbo za Usher.",[4].

Nchini Marekani wimbo huu uliingia katika chati ya Bilboad na kufikia katika nafasi ya 66, .[5], katika wiki yake ya pili katika chati huzi,liweza kufika katika nafasi ya 2,nyuma ya single zilizopita za Carey kama vile ‘’We Belong Together’’ na kumfanya Carey kuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuwahi kufikisha nyimbo mbili zinazofuatana katika nafasi ya kwanza na ya pili..[6] Wimbo wa "Shake It Off" ulifika katika namba 2 baada ya wiki sita baada ya wimbo wa ‘’We Belong Together’’ kushuka kutoka nafasi ya kwanza hadi nje ya chati hiyo. .

Vieo ya Muziki

[hariri | hariri chanzo]

Video ya single hii iiongzwa na jJake Nava n Inaanza kwa kumwnesha Carey akiwa na mpenzi wake. Carey anamlaumu mpenzi wake na anamwambia kuwa,wanachana na anaonekana kupanga nguo katika mabegi yake na anaonekana kuondoka katika nyumba hiyo. Carey anaonekana kusimama katika mghahawa mmoja, na baadae anaonekana akiwa katika kituo cha magari. Na Chris Tucker akiwa ameka katika kiti cha basi. Video inaendelea na mwishoni. Anaonekana michana mdogo ambaye ametokezea pia katika albamu yake ya mwaka 1995, ya ‘’Fantasy’’. Video hii ilichaguliwa kugombea katika tuzo ya MTV Video Music Awards ya mwaka 2006 katika jamii ya Best R&B Video.

Muundo na Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Australian CD single

  1. "Shake It Off" (Album Version)
  2. "Shake It Off" (Instrumental)
  3. "Secret Love"
  4. "Shake It Off" (Video)

US Promo 12" Single

  1. "Shake It Off" (Remix Edit feat. Jay-Z & Young Jeezy)
  2. "Shake It Off" (Remix feat. Jay-Z & Young Jeezy)
  3. "Shake It Off" (Remix Instrumental feat. Jay-Z & Young Jeezy)
Chati (2005) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[7] 6
European Singles Chart 311
Irish Singles Chart[8] 151
New Zealand Singles Chart[9] 5
UK Singles Chart[10] 91
U.S. Billboard Hot 100[11] 2
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[11] 23
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[11] 2
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[11] 1

1 "Get Your Number"/"Shake It Off"

Msambazaji Mauzo Certification
Australia 35,000+ Gold
United States 500,000+ Gold

Historia ya kutoka

[hariri | hariri chanzo]
Eneo Tarehe Studio Muundo Catalog
United States Julai 12, 2005 (2005-07-12)[2] Promo single
United Kingdom Oktoba 3, 2005 (2005-10-03) CD single[12]
Digital download[13]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-11-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  2. 2.0 2.1 "CHR - Available for Airplay". FMQB. Friday Morning Quarterback Album Report, Inc. and Mediaspan Online Services. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-20. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  3. Lamb, Bill. "Shake It Off - Mariah Carey". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-15. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  4. Gennoe, Dan (20 Aprili 2005). "Mariah Carey - The Emancipation Of Mimi". Yahoo! Music. Yahoo! and Dotmusic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-15. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  5. Jeckell, Barry A.. "Mariah's 'Together' Holds Off 'Replay' Charge", Billboard, Nielsen Business Media, Inc., 21 Julai 2005. Retrieved on 2008-08-26. Archived from the original on 2012-10-21. 
  6. "Chart Beat". Billboard. Nielsen Business Media, Inc. 1 Septemba 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-03. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  7. Australian Singles Chart
  8. Irish Singles Chart
  9. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-27. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20120411182737/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)
  10. UK Singles Chart
  11. 11.0 11.1 11.2 11.3 "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.
  12. "Get Your Number/Shake It Off (Single)". Amazon.co.uk. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  13. "Get Your Number / Shake It Off (UK 2 trk single)". 7digital. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-01. Iliwekwa mnamo 2008-08-26. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)