Tunis
Mandhari
Jiji la Tunis | |
Nchi | Tunisia |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 602,560 |
Tunis (kwa Kiarabu: تونس ) ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 602,560 (mwaka 2022) ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 2.7.
Mji uko ufukoni mwa Mediteranea, karibu na Karthago ya Kale.
Mji wa kale (Medina ya Tunis) umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lexicorient Archived 24 Novemba 2010 at the Wayback Machine.
- Video tour Archived 23 Machi 2006 at the Wayback Machine. ya makumbusho ya Bardo
- Video of Tunis Medina Archived 23 Machi 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |