Waik
Mandhari
Waik ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda, mpakani mwa Kenya.
Lugha yao, Kiik, ndiyo iliyo hai zaidi kati ya lugha za Kikuliak, tawi la lugha za Kinilo-Sahara.
Wanakadiriwa kuwa 10,000.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://www1.dragonet.es/users/markbcki/trnbll.htm
- http://www.thefreelibrary.com/The+Mountain+People+revisited:+Curtis+Abraham+went+to+Ik-land+in...-a082802101
- The Ik Endangered Tribe In Mount Morungole
- Article about the Ik people written by the Spanish Journalist Daniel Landa
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waik kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |